Saturday, 15 November 2014
SERIKALI YA TANZANIA NA MAREKANI ZATILIANA SAINI MKATABA YA KUANDAA MIRADI YA SEKTA YA NISHATI
Na Beatrice Lyimo- Maelezo-DSM.
Serikali ya Marekani na Tanzania zimetiliana saini kwa ajili ya kuandaa miradi katika sekta ya nishati itakayofadhiliwa katika awamu ya pili ya Mkataba wa Millennium Challenge Corporation (MCC).
SERIKALI, UN, VYOMBO VYA HABARI KUTOA ELIMU DHIDI YA EBOLA
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana kutoa elimu ya ugonjwa wa Ebola kwa wananchi wakati wa kongamano lililoandaliwa na UNESCO, WHO, UNICEF, Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Novemba 11,2014 jijini Dar es Salaam mkutano huo uliowakutanisha wamiliki wa Redio za kijamii kuwaelimsha Radio za Kijamii za Mikoani ni namna gani wanavyoweza kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi ya jamii ili kutoa taarifa sahihi kwa wananchi kuhusu ugonjwa wa Ebola, Ebola ni nini namna ya kujinga na dalili zake.(kushoto), Kushoto ni Mwenyekiti wa COMNETA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Redio FADECO, Sekiku Joseph.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).
WATOTO WADOGO WAAMBUKIZWA UKIMWI BAADA YA KUBAKWA NA BABA WA KAMBO
Watoto wadogo wamekuwa katika hatari ambapo mara nyingi tumesikia taarifa za watoto kufanyiwa vitendo mbalimbali vya kikatili na watu wazima.
MUSEVENI URGES AFRICAN COUNTRIES TO PROMOTE TOURIST ATTRACTIONS.
KWA MAELEZO ZAIDI AU KUJIPATIA JUICE(BIDHAA) YAKO WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0783 149 561
Je unafahamu maradhi mengi husababishwa na utumbo wako kuwa mchafu?
Je unafahamu kuwa unavyopeleka gari lako service na mwili wako unahitaji?
Umewahi kufikiria njia za kusafisha utumbo wako?
Je unafahamu kuwa unavyopeleka gari lako service na mwili wako unahitaji?
Umewahi kufikiria njia za kusafisha utumbo wako?
TATIZO LA UGUMBA KWA WANAWAKE!
Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande wa wanawake.
NINI HUSABABISHA UGUMBA KWA WANAWAKE?
Mayai kutokomaa ipasavyo:
ONA UNYAMA HUU! MTOTO ALIYEPOTEA AKUTWA AKUTWA AMEUA KINYAMA ZANZIBAR
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI!
siku ya tukio watoto walikuwa wakicheza nje ya nyumba yao kama wiki moja iliyo pita ndipo kuna baba mmoja akapita akamwambia mtoto mmojaq wa kiume amuonyeshe duka lilipo maeneo hayo yule mtoto wa kiume alikataa ndipo alipo mwambia mtoto wa kike aitwae Nuru nipeleke dukani. yule mtoto akatangulia mbele yule babu akiwa nyuma.
BONDIA CHEKA AONA NGUMI HAZILIPI ARUDI KUOKOTA CHUPA
Nyumbani kwa bondia Francis ‘SMG’ Cheka hakuishi pilika ambazo zinatokana na kazi ya chupa za plastiki anayofanya bingwa huyo wa zamani wa dunia wa WBF.
MLO WANGU WA LEO! NAJITAHIDI KUACHANA NA WALI UGALI TAMBI VIAZI VYAKULA VYA WANGA KWA UJUMLA
Mwanzoni nilipoanza kula vyakula vya hivi yaani ni mtihani mkubwa, ni kwanza hushibi, unaona kama hujala kitu kabisa! lakini nimejikaza sasa hivi nimeshazowea, Vyakula vya wanga ni vizuri lakini kiafya hawatushauri ,isipokuwa unaruhusiwa kula vyakula visivyokobloewa,kama tambi basi kula zile brown na si nyeupe, wali brown, ugali ukiweza kula sembe au dona, sasa jamani si bora niache kabisa!kwa kweli ni SHEEDAH!
LHRC: HAKI ZA AJIRA HAZITEKELEZWI KIVITENDO
IMEELEZWA kwamba baadhi ya makapuni na mashirika mbalimbali bado haki za ajira hazitekelezwi kivitendo na hivyo kusababisha wafanyakazi kufanya kazi katika mazingira magumu.
MISS TANZANIA 2013 AAHIDI MAKUBWA MASHINDANO YA UREMBO YA DUNIA
BOKO HARAM WAUDHIBITI MJI WA CHIBOK
Ripoti kutoka kaskazini mashariki mwa Nigeria zinasema kuwa wanamgambo wa Boko Haram wameudhibiti mji wa Chibok , mji ambapo waliwateka nyara zaidi ya wasichana 200 mwezi Aprili.
Friday, 14 November 2014
MUHIMBILI YASITISHA GHARAMA MPYA
SERIKALI imesitisha ongezeko la tozo zilizoanza kutumika hivi karibuni katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambayo ndiyo yenye vifaa tiba na madaktari wenye uwezo mkubwa kuliko hospitali yoyote nchini.
MAREKANI YAIPATIA TANZANIA BILIONI 16.6
SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), imetoa Sh bilioni 16.6 kwa Tanzania, zitakazotumika kujenga miundombinu ya umeme.
JENGO LA MACHINGA COMPLEX LAUNGUA..
Habari kutoka jijini Dar es salaam zinasema kuwa jengo la wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga Complex) lililopo jijini humo linawaka moto muda huu.
Tunaarifiwa kuwa juhudi za kuuzima zinaendelea.
Tutawaletea taarifa zaidi..
chanzo-Radione stereo
NDEGE YA KIJESHI YAANGUKA NIGERIA
Helikopta ya kijeshi ya Nigeria imeanguka katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo , ikiwa ni helikopta ya pili kupata ajali kwa muda wa chini ya wiki mbili .
WATOTO WAONGEA LUGHA ISIYOFAHAMIKA BAADA YA KUFUNGIWA NDANI KWA MIAKA SABA
Watoto watatu kutoka kijiji cha Barca katika kaunti ndogo ya Aber Wilayani Oyam nchini Uganda wameanza kuzungumza lugha tofauti isiojulikana baada ya kufungiwa katika nyumba kwa miaka saba.
ULAJI USIOZINGATIA LISHE BORA ONGEZEKO LA KISUKARI
ULAJI usiozingatia lishe bora na unene uliopitiliza kutokana na kutofanya mazoezi, kumeelezwa kuwa chanzo cha ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari hapa nchini.
Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa taasisi inayoshughulikia masuala ya kisukari, Prof. Andrew Swai.
WAVUVI HARAMU WALIPULIWA NA BARUTI TANGA
WAKAZI wawili wa Kata ya Tangasisi tarafa ya Pongwe wilayani Tanga wamejeruhiwa viungo mbalimbali vya mwili kwa kulipukiwa na baruti wakati wakivua kwa kutumia zana za uvuvi haramu kwenye kisiwa cha Karange.
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.
Thursday, 13 November 2014
MWANAMKE MBARONI KWA KUFADHILI KUNDI LA ISIS.
Mwanamke mmoja nchini Uingereza aliyeshitakiwa kwa kumfadhili mumewe aliyejiunga na vita nchini Syria, amefungwa jela kwa zaidi ya miaka miwili.
UGANDA YAZINDUA GARI LISILOTUMIA PETROLI
Uganda imezindua gari maalum la kipekee katika kanda ya Afrika mashariki maarufu kama hybrid electric car.
NJIA KUMI ZINAZOSAIDIA KUPUNGUZA UNENE
Ni makala muhimu sana. Wastani wa maisha ya Mtanzania ( na Waafrika wengi) hata wale waliosoma au wanaojiweza kiuchumi ni miaka 40-50. Kati ya sababu kuu zinazopunguza uhai wetu ni afya, unene na kutojua kujiangalia vyema afya zetu.
WAHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA
Maelekezo Muhimu.
- Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.
ONA UNYAMA HUU! MUME AMKATA MKEWE SEHEMU ZA SIRI ILI AKAUZE KWA MGANGA WA KIENYEJI .
Unyama wa kutisha kisa utajiri! Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 (pichani jina linahifadhiwa), anadai kukatwa sehemu zake za siri (nyeti) na mumewe aliyemtaja kwa jina moja la Mashaka ili akauze Sh. milioni tano za Kitanzania akauze kwa mganga wa kienyeji ili apate mtaji.
Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 aliyekatwa sehemu zake za siri (nyeti) na mumewe anayefahamika kwa jina moja la Mashaka.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo baya, mama huyo amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, Kitete ambapo anadaiwa kukutwa na kisanga hicho hivi karibuni.
SIASA ZIWEKWE KANDO MGOGORO WA KITETO
Wakati mgogoro kati ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto, mkoani Manyara ukipamba moto kwa kuongezeka kwa matukio ya mauaji ya kutisha na uharibifu wa mali, Serikali imekuwa ikichukua hatua kwa mwendo wa taratibu, huku wanasiasa wakitumia fursa hiyo kujinufaisha kwa kuutumia mgogoro huo kufikia malengo ya kisiasa.
Subscribe to:
Posts (Atom)