Saturday 15 November 2014

MLO WANGU WA LEO! NAJITAHIDI KUACHANA NA WALI UGALI TAMBI VIAZI VYAKULA VYA WANGA KWA UJUMLA


Mwanzoni nilipoanza kula vyakula vya hivi yaani ni mtihani mkubwa, ni kwanza hushibi, unaona kama hujala kitu kabisa! lakini nimejikaza sasa hivi nimeshazowea, Vyakula vya wanga ni vizuri lakini kiafya hawatushauri ,isipokuwa unaruhusiwa kula vyakula visivyokobloewa,kama tambi basi kula zile brown na si nyeupe, wali brown, ugali ukiweza kula sembe au dona, sasa jamani si bora niache kabisa!kwa kweli ni SHEEDAH!

2 comments:

Anonymous said...

aziz bilal10:36




Safi sana hiyo,hata mimi ni hivyo hivyo tuu,wanga ulinidhuru na kunipatia maradhi tele

Anonymous said...


huyo ni kuku au turkey breast?maana chakula kama hii itakukondesha sana.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!