Friday 14 November 2014

JENGO LA MACHINGA COMPLEX LAUNGUA..


Habari  kutoka jijini Dar es salaam zinasema kuwa jengo la wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga Complex) lililopo jijini humo linawaka moto muda huu.

Tunaarifiwa kuwa juhudi za kuuzima zinaendelea.

Tutawaletea taarifa zaidi..

chanzo-Radione stereo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!