MITINDO YA VITENGE KWA WOTE, NA HANDBAGS ZA KITENGE!
Mishono ya kitenge unaweza kushona karibu kila mtindo sio lazima liwe gauni kama ilivyokuwa zamani, sasa hivi kitenge kinashonwa suruali skirt Blazer na kadhalika! kama picha hapa chini hii ni skirt fupi ya kitenge!
No comments:
Post a Comment