Thursday 13 November 2014

UGANDA YAZINDUA GARI LISILOTUMIA PETROLI

Uganda imezindua gari maalum la kipekee katika kanda ya Afrika mashariki maarufu kama hybrid electric car.


Uzinduzi wa gari hilo ulifanyika katika mji mkuu wa Kenya Nairobi.
Lakini je, hybrid electric car ni gari la aina gani? Hili ndilo swali mwandishi wetu, Wanyama wa Chebusiri amemuuliza mmoja wa wahandisi waliotengeneza hilo gari, Bwana Mario Obua..

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!