Products

TUNAPOKEA ODA KWA BIDHAA ZETU ZIFUATAZO TOA ODA YAKO MAPEMA LEO HUJACHELEWA!! | KANYAGIO! UMELIPENDA WASILIANA NA MAMA BLOG KWA MAWASILIANO HAPO JUU!!!


KWA HISANI YA SOPHIE MBEYU BLOG 
CALL NOW AND ORDER!!!!
SIMU NAMBA: 0657615174  NA PIA
  SIMU NAMBA:  0783149561-WATSUP PIA 


********

TUNAPOKEA ODA KWA BIDHAA ZETU ZIFUATAZO

TOA ODA YAKO MAPEMA LEO HUJACHELEWA!!

BOFYA HAPA KWA MAWASILIANO

SIMU NAMBA: 0657615174  NA PIA 
SIMU NAMBA:  0783149561-WATSUP PIA

22 comments:

mawere mre said...

Habari. Nimependa viatu naomba kujua bei na vinapatikanaje niko Tanzania email yangu ni katemawere@gmail.com

Sophia Mbeyu said...

tafadhari wasiliana na mawakala wetu, nimekutumia kwa email yako..
Asante!na karibu tena!

Rayb Kilasara said...

Habari tafadhali nimependa viatu, email yangu ni temubeatrice@yahoo.com

Rayb Kilasara said...

tafadhali ninaomba contact nimependa kiatu. email yangu ni temubeatrice@yahoo.com

Anonymous said...

nimependa hivyo viatu email yangu ni snavoneiwa@yahoo.com bei yake na ninavipataje?

Sophia Mbeyu said...

Watu wa viatu tafadharini piga simu namba 0657615174, ili kutoa order yako..
Asanteni na karibuni sana!

Motinda said...

The shoes are fabulous. I live in the United States and would love to have a pair or 2. My email address is afre2w@gmail.com. Please let me know the price and how I could get them. Thank you

Anonymous said...

Hello
naomba unitumie picha nyingi zaidi na bei pia kwenye rebbygm24@yahoo.com

Anonymous said...

Nimevipenda xsana jaman hivo viatu! Naomba kujua mawakala wenu email yamu ni thveara@gmail.com

NDILE NISA said...

nimependa bidhaa zenu za viatu naomba kujua bei my Email ndilenisa24@gmail.com

Sophia Mbeyu said...

NDILE NISA, nimekutumia email tuwasiliane kwa njia hiyo dear.

Godfrey Babu said...

Habari za Leo, ninataka hizo sandals pair 2 for my wife.... Hizo zilizo panda juu, mim naishi Mwanza, tafadhali nijulishe ntawezaje kuzinunua this week. Thanks

Sophia Mbeyu said...

GODFREY. tafadhari naomba details zilizopanda ziko tofauti, kuna hizi zilizopanda kidogo,na zina shanga , na kuna nyingine zimepanda juu zaidi, na muundo wake tofauti. tafadhari nitumie email sophiembeyu@msn.com
Ahsante!

Anonymous said...

nimependa products zenu, nipo mwanza naomba kujua bei na nipavipata vp? my email:edithasylvester@gmail.com. thankx!

Sophia Mbeyu said...

Sawa nitakutumia email mpendwa..

Karibu sana!

Godfrey Babu said...

Habari za leo, Sofia. yaani leo ndio naona response yako samahani sana. email yangu ni godfreybabu@gmail.com
nataka hizo zilizo panda sana, zenye shanga za rangi rangi mbalimbali. Nichek kwenye email yangu ili kama uni attachie sample.
Asante dada yangu

Sophia Mbeyu said...

Hakuna shida cheki nakutumia email kwa adress uliyonipa.

Karibu sana

Anna Mkamburi said...

Nimevipenda hivyo viatu,nitavipata vipi?

Sophia Mbeyu said...

Sawa mpendwa Anna naomba tuwasiliane kwa email hii sophiembeyu@msn.com
uniambie ni viatu vipi katika hivyo umependa na pia saizi na sehemu uliyoko
ili tujue utakavyotumiwa mzigo wako.
Asante

raymond thomas said...

madam Soph bado unavyo tu hivyo viatu nataka uniuzie pair zaidi ya 15 vya biashara, niko simiyu, tafadhari nijurishe bei weka sample zote (mchanganyiko)through my email
2005april11@gmail.com

Sophia Mbeyu said...

Raymond naona hatukuwasiliana tena, usisahau kucheki email yako nitakutumia details! Asante

adelina johnbosco said...

mko poa kama mnavyotuonesha ndo kweli mnatengeneza,,,,nitakutafuta nataka vingi vingi kwa bei ya jumla

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!