Saturday, 11 October 2014
Jennifer Lopez is one hot mama in striking red dress for Power of Women event.
This summary is not available. Please
click here to view the post.
MELI YA MV VICTORIA YANUSURIKA KUZAMA KARIBU NA BANDARI YA KEMONDO BUKOBA
Meli ya mv victoria inayo fanya safari zake kati ya mikoa ya mwanza na kagera katika ziwa victoria imenusurika kuzama karibu na bandari ya kemondo nje kidogo ya mji wa bukoba tukio ambalo limesababisha meli hiyo kushindwa kuendelea na safari yake.
NSSF KUUZA VIWANJA 444 MKOA WA PWANI
Frank Mvungi-Maelezo
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) laanza kuuza viwanja takribani 444 vyenye jumla ya mita za mraba 465,161 katika eneo la Kiluvya A Halmashauri ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.
MTOTO ALIYEOKOLEWA NA POLISI KENYA ALIKUWA ANAKUJA KUUZWA
IS YASHAMBULIA KIVUKO CHA UTURUKI
Afisa wa ngazi ya juu kwenye mji wa mpaka wa Kobane nchini Syria amiambia BBC kuwa wanamgambo wa Islamic State wamejaribu kukishambulia kivuko cha mpaka na Uturuki lakini wakashindwa kukidhibiti kivuko hicho.
MUME AMFYEKA MGUU MKEWE!
Mwanamama Neema Iwena aliyekatwa mapanga na mumuwe, Victor Nzali. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio hilo la kutisha, kusikitisha na la ukatili wa kijinsia lilijiri nyumbani kwa wanandoa hao katika Kijiji cha Mlimba, Ifakara mkoani Morogoro na kusababisha vilio kwa kitendo alichokifanya mwanaume huyo cha unyama wa kupitiliza.
BOKO HARAMU YAWAACHILIA MATEKA 27
Rais wa Cameroon amesema kuwa mateka 27 wakiwemo raia 10 wa Uchina wameachiliwa na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.
KILA LA KHERI LIGI DARAJA LA KWANZA
LIGI ya soka ya Daraja la Kwanza Tanzania Bara inaanza leo katika viwanja tisa tofauti katika miji kadhaa nchini, ikishirikisha timu 23 zinazowania kupanda Ligi Kuu msimu ujao.
MAOFISA WA POLISI 120 WATIMULIWA CCP
Maofisa wa Polisi wapatao 120 wa Jeshi la Polisi, waliokuwa wakihudhuria mafunzo ya kupandishwa vyeo katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA), wametimuliwa chuoni hapo.
MAPENDEKEZO JUU YA MIRADI YA MAENDELEO YAWASILISHWA KWA UONGOZI WA BENKI YA DUNIA.
Friday, 10 October 2014
DUNIA YALAUMIWA KWA KUTODHIBITI EBOLA
Shirika la madaktari wasio na mipaka wanaotoa huduma za kitabibu nchini za Afrika Magharibi dhidi ya Ebola limesema dunia inapaswa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na janga la ugonjwa huo.
Award Winning Fashion Designer LINDA BEZUIDENHOUT will be making a special appearance today Friday Oct 10 at the AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE Award Ceremony
Award Winning Fashion Designer LINDA BEZUIDENHOUT will be making a special appearance today Friday Oct 10 at the AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE Award Ceremony at the Future Vision Event Centre 1212 Fowler St Nw, Atlanta, GA 30318 @ 7:00pm. For information on how to attend RSVP SebrenaKelly@gmail.com or call 404-981-7087.
For more info on AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE please go to http://africanleadership.co.uk/
VINARA WA HISABATI KUSOMESHWA CHINA
SERIKALI ya China itadhamini wanafunzi bora 10 wa kidato cha sita watakaofanya vizuri katika somo la hisabati kwa kuwa inaamini maendeleo yatategemea ukuaji wa sayansi na teknolojia miongoni mwa vijana.
WAHAMIAJI 26 WAKAMATWA TABORA
WAHAMIAJI 26 kutoka nchi jirani za Burundi na Rwanda wamekamatwa juzi katika Kijiji cha Mlogolo, kilichopo Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora ambao kati yao, 22 ni watoto wenye umri chini miaka 15.
VYAKULA VINAVYOFAA MGONJWA WA KISUKARI
Kisukari ni ugonjwa sugu ambao huathiri uwezo wa mwili kutumia nguvu na chakula kwa muda mrefu kutokana na kuongezeka kwa sukari aina ya glucose kwenye mishipa ya damu.
WANAFUNZI WA UHURU SEKONDARI WALIOFARIKI WAKIOGELEA WAZIKWA NA MAMIA
MAUAJI YA KINYAMA KIGOMA
Watu saba wameuawa kwa kuchomwa moto ndani ya nyumba katika tukio ambalo nyumba 18 ziliteketezwa na mbili kubomolewa na wananchi waliodai wanawaua wachawi katika Kijiji cha Murufiti, Kasulu, mkoani Kigoma.
FAIDA ZA KULA NDIZI MWILINI
Utafiti uliofanywa umeonyesha kuwa kula ndizi mbili zilizoiva kwa siku utaweza kufanya kazi za nguvu kwa dakika 90 mfululizo au kuwawezesha wanariadha kukimbia mbio fupi na ndefu.
VIRUSI" VIJIDUDU VIDOGO VINAVYOTIKISA FANI YA TIBA ULIMWENGUNI
Virusi ni vijidudu vidogo sana kiasi kwamba huingia karibu mara 100 katika seli moja ya mwili wa binadamu.
KERO YA KUTAFUTA KTAMBULISHO TANZANIA
Shughuli ya upatikanaji wa vitambulisho vya uraia nchini Tanzania imegeuka kuwa kero kwa wananchi badala ya faraja waliyoisubiri kwa hamu.
UINGEREZA YAZURU TANZANIA KUZUNGUMZIA MADINI, GESI
Thursday, 9 October 2014
Familia ya Baba wa Taifa waiomba benki kuu ya Tanzania kuondoa noti ya shilingi elfu moja.
Familia ya baba wa taifa hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere imeuomba uongozi wa benki kuu ya Tanzania kuiondoa katika mzunguko wa fedha noti ya shilingi elfu moja yenye picha ya Baba kwa maelezo kuwa picha ambayo imetumika katika noti hiyo haifanani kabisha na kiongozi huyo na kwamba kuendelea kutumika ni sawa na kumdhalilisha muasisi huyo wa taifa la Tanzania.
MTOTO MIAKA 9 AKUTWA AMEJINYONGA JIJINI DAR.
Baba mzazi wa marehemu Focus Saimon (9).Focus aliyekuwa akisoma darasa la tatu katika Shule ya Msingi Kumbukumbu, amedaiwa kufanya tukio hilo Jumamosi iliyopita kwa kufunga gauni la mdogo wake shingoni na kujitundika kwenye komeo hilo mpaka kukata roho.
HALIMA MDEE "NIMEKULA BATA RUMANDE"
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee (35) na wenzake wanane wameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mdee na wanachama wengine wanane waliachiwa jana mchana baada ya kutimiza masharti.
Swahili Fashion Week Now established As Fashion Tourism Event!
The annual Swahili Fashion Week is now less than two months away and preparations are in high gear to once again deliver perfection for Mustafa Hassanali’s signature fashion event.
CHANGAMKIA FURSA HIYO!
Subscribe to:
Posts (Atom)