KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYEULEMAVU TANZANIA FELICIAN MKUDE WA KWANZA KULIA WAKIBADILISHANA MAWAZO NA WAJUMBE WA CHAAMA HICHO |
AFISA UHUSIANO WA TANESCO NEEMA MBUJA AKIWATAMBULISHA VIONGOZI WA TANESCO KWA WAANDISHI WA HABARI AWAKATI WA HAFLA YA MAKABIDHIANO YA MSAADA WA MIAMVULI KWA SHIRIKISHO LA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA |
KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO ENG NAZIR YAZID KACHWAMBA KULIA AKITOA HUTUBA YAKE WAKATI WA MAKABIDHIANO YA MSAADA WA MIEMVULI KWA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA |
KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA FELICIAN MKUDE AKITOA SHUKRANI ZAKE KWA UONGOZI WA TANESCO KWA MSAADA WALIOPATIWA |
BAADHI YA WAJUMBE WA VYAMA WA SHIRIKISHO LA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAKIWA KATIKA MKUTANO HUO WA MAKABIDHIANO |
WAJUMBE WA SHIRIKISHO LA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAKIWA KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO ENG NAZIR KACHWAMBA WA PILI KULIA KWA PAMOJA WAKIFURAHI JAMBO KUHUSU MWEMVULIA WAKIJIKINGA |
HAWA NI MAAFISA UHUSIANO WA TANESCO |
KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO NAZIR KACHWAMBA AKIWA NA TIMU YAKE |
KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO NAZIR KACHWAMBA AKIMKABIDHI MWEMVULI KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU FELICIAN MKUDE |
PICHA YA PAMOJA KATI YA WAJUMBE WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU PAMOJA MAAFISA HABARI WA TANESCO MARA BAADA YA MAKABIDHIANO |
PICHA YA PAMOJA KATI YA WAJUMBE WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU PAMOJA MAAFISA HABARI WA TANESCO MARA BAADA YA MAKABIDHIANO |
MAAFISA HABARI WAKICHEKI MIEMVULI KAMA IKO FITI |
MIEMVULI HII NI SAFII ZAIDI |
KAIMU MKURUGENZI MKTENDAJI WA TANESCO NAZIRI KACHWAMBA NA KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU FELICIAN MKUDE WAKIAGANA NA KUMPONGEZA |
AHASANTENI KWA KUKUBALI MWITO WENU NA SASA TUNAAGANA KWA HERINI KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI NAZIRI KACHWAMBA AKIWAAGA |
PICHA YA PAMOJA |
MAAFISA UHUSIANO WAKIANDAA MSOSI |
No comments:
Post a Comment