Nyumbani kwa mzee Alley vilio, nyuso za uhuni zilitawala.Wanafunzi hao wawili waliokuwa wanasoma katika shule ya sekondari Uhuru mjini Shinyanga wamefariki dunia wakati wakiogelea kwenye Bwawa la Ning'wa lililopo nje kidogo ya mji wa Shinyanga
Wakazi wa Shinyanga wakisindikiza mwili wa marehemu Hussein Alley kwenda katika nyumba yake ya milele jioni ya leo
Mazishi ya kijana Hussein Alley yamehudhuriwa pia na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga ndugu Khamis Mgeja(mwenye kibaragashia) na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Shinyanga Emmanuel Mlimandago (kulia kwake na Mgeja) |
Mwili wa marehemu Hussein Alley ukifikishwa kwenye makaburi ya Nguzo nane jioni hii kwa ajili ya mazishi |
Mazishi yakiendelea
Kaka yake na Hussein Alley,Shaban Alley(wa tatu kutoka kushoto) akiwa eneo la mazishi leo
Baada ya mazishi ndugu wa marehemu Hussein wakiwa kwenye kaburi(mwenye kanzu ni ndugu Shaaban Alley kaka yake na Hussein Alley)-Picha zote na Kadama Malunde
CRD: MALUNDE BLOG
No comments:
Post a Comment