Saturday, 12 September 2015

MAGUFULI AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI WILAYA YA BUSEGA,BARIADI,ITILIMA NA MEATU MKOANI SIMIYU LEO.‏

 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli aliyenyanyua kofia (katikati) akiwasili katika uwanja wa  CCM mjini Bariadi kwa ajili ya kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni mkoani Simiyu.
 PICHA NA MICHUZI JR-SIMIYU.

TIMU YA SIMBA YAANZA KWA USHINDI



MWANDISHI WETU
TIMU ya SIMBA YA Dar es Salaam imeanza Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ushindi wa bao -1-0 dhidi ya African Sports, katika mchezo uliopchezwa Uwanja wa Mkwakwani, mjini hapa.
Bao hilo la Simba limefungwa katika dakika ya 56 kupitia kwa Hamisi Kiiza baada ya kuunganisha kwa kichwa krosi ya Mussa Hassan ‘Mgosi’.

MASANJA MKANDAMIZAJI-NITAENDELEA KU-SUPPORT CCM.


Msanii wa nyimbo za injili na vichekesho hapa nchini, Emamnuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji, ameshindwa kuvumilia na kuweka wazi yeye ni shabiki wa chama gani
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Masanja ameandika kuwa anashabikia chama gani ikiwa ni siku kadhaa zimepita na wasanii mbalimbali hapa nchini wakajionesha waziwazi wao ni wapenzi wa vyama gani vya siasa
Hapa chini ni "alichopos"t masanja kwenye "page" yake.




Bi. Samia Suluhu Afunika Mkutano wa Kampeni Kibaha...!‏

WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (hayupo pichani) alihutubia.

KITENGE KWA RED CARPET!

 

MAGAUNI YA HARUSI!



JE NI KWELI MAVAZI HUBADILI AHALISIA WA MTU?



Hapo awali mavazi yalitumika kama stara tu, inasemekana kuwa Adam na Hawa walipoanza kupata hisia za haya,soni au aibu walitumia majani ya miti kujistiri.

FENDI HANDBAGS!

KRANE YAUA 107 MJINI MECCA

Image copyrightAFP
Image captionKreni yaua 107 mjini Mecca
Gavana katika eneo la Mecca ameamrisha kufanyika uchunguzi kufuatia kuanguka kwa kreni katika msikiti mkubwa zaidi duniani.

MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-DKT MAGUFULI‏

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.

WASANII BONGO MOVIE WANOGESHA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA CCM

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani.

LOWASSA: IKULU LAZIMA!



Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, ameanzisha staili mpya ya kampeni kwa kuwaruhusu wananchi kuuliza maswali ya papo kwa papo.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 12 SEPTEMBA 2015

.

Friday, 11 September 2015

RUBY-NA YULE!

HII HAIPENDEZI HATA KIDOGO!


MAMBO YA HAMISA HAYO! UNYWELE SASA!


LIGI KUU TANZANIA BARA KUANZA KESHO


MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
LIGI Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2015/2016 unaanza kesho Jumamosi kwa viwanja saba tofauti.

MITINDO/MISHONO YA VITENGE KWA WOTE!

DAKTARI ALIYEKUWA AKIBAKA WAGONJWA WA KIKE AFIKISHWA MAHAKAMANI

Image captionMugo wa Wairimu anayedaiwa kuwa daktari bandia akiwa mahakamani
Daktari mmoja tapeli nchini Kenya, Mugo Wa Wairimu, anayedaiwa kuwabaka wagonjwa wa kike katika kliniki yake amefikishwa mahakamani hii leo jijini nairobi.

KUMBUKUMBU YA MIAKA 14 TANGU SHAMBULIO LA KIGAIDI NCHINI MAREKANI(9/11)

NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI!


WALE WA BUSTANI YA MAUA PATA UJUZI HUMU!


VICTORIA BECKHAM IN WOMEN FASHION ZONE!


Elimu ya uzazi wa mpango yaendelea kutolewa

Click image for larger version. 

Name: wanafunzi wa sekondari ya katabuka.jpg 
Views: 336 
Size: 92.5 KB 
ID: 285317

Elimu ya uzazi wa mpango bado haijamfikia kila mtu, kuna jitihada za makusudi zinazofanyika na watu binafsi, mashirika pamoja na serikali ili kuendelea kueneza elimu hii.



VIONGOZI WAKUBWA WALIOHAMA CHADEMA

SAKATA LA WAHAMJIAJI ULAYA-USAFIRI WA TRENI WAREJESHWA TENA DANMARK

Image captionwahamijaji
Usafiri wa treni nchini Denmark umejea tena baada ya hapo kusitishwa kwenda na kutoka Ujerumani baada ya kutokuelewana kati ya polisi na mamia ya wahamiaji.

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPATA UFADHILI WA MASOMO YA UZAMILI WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016


USIKU WA HILDA TEMU KATIKA SHEREHE YA KUMUAGA (SEND-OFF PARTTY) KATIKA UKUMBI WA DOLPHINE DAR ES SALAAM‏

 Bi Harusi Hilda katika pozi kabla ya kuingia Ukumbini (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

STAILI YA NYWELE FUPI!


UNESCO WAKABIDHI KITABU CHA MAFUNZO YA TEHAMA KWA SERIKALI NCHINI‏

IMG_8554
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa wadau wa sekta ya elimu wakati wa hafla ya kukabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu nchini kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Katikati ni mgeni rasmi Kamishina wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa aliyemwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Sifuni Mchome. Kushoto ni Ofisa wa Ubalozi wa China, LIU Yun.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)

JUMUIYA YA WATANZANIA WASIO NA AJIRA TUEPO YANDAA MAFUNZO YAUJASIRIA MALI.

1 
Aliekuwa Mbunge wa Kikwajuni anaetetea nafasi yake Hamad Masauni akiteta jambo na Mwenyekitiwa wa Jumuiya ya watanzania wasio na ajira Ussi Said Suleiman wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo vijana juu ya mbinu za bishara, katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA 11 SEPTEMBA 2015

.

Thursday, 10 September 2015

NAWASHANGAA MAWAZIRI WAKUU WENZANGU WALIOSTAAFU,WAKIDAI CCM MIAKA 50 HAKUNA KILICHOFANYA-JAJI WARIOBA‏

 Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Butiama ambapo aliwaeleza Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-MARA

Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki




Msafara wa aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa na Mgombea Mbunge Jimbo la Tarime Vijijini(CHADEMA) John Heche umevamiwa na mtu mmoja amefariki katika vurugu hizo
- Wengine kadhaa wamejeruhiwa

ILIYONIVUTIA! KWENYE IN MY SHOES!

ABOUBAKAR ZUBEIR MUFTI WA TANZANIA


NA MWANDISHI WETU, DODOMA
HATIMAYE Sheikh Abubakar Zubeir amechaguliwa kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, katika Mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Wasilamu Tanzania (BAKWATA), uliofanyika mkoani hapa. 

TEAM YA WASANII WA MABADILIKO WALETA MAFURIKO MTWARA

Msanii Walter Chilambo akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.

MAJAMBAZI YENYE SILAHA YATEKA MABASI NA KUPORA MAMILIONI-MTWARA



Majambazi wenye silaha Wilayani Masasi Mkoani Mtwara wameteka mabasi matano usiku wa kuamkia leo, wamejeruhi baadhi ya watu. 

VUNJA MBAVU NA KATUNI!




UBUNIFU! TAA ZILIZOTENGENEZWA KWA KUTUMIA VIBUYU!

22

JK AMPATIA BAJAJI MWANAFUNZI MLEMAVU HAROUB SOUD MZEE '>JK AMPATIA BAJAJI MWANAFUNZI MLEMAVU HAROUB SOUD MZEE

 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Bw. Haroub Soud Mzee ambaye ni  mlemavu wa miguu bajaji itakayomsaidia katika shughuli zake mbalimbali za kimasomo. Bw. Mzee  ni mwanafunzi wa Uhasibu mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Kampala University jijini Dar es salaam

SHINYANGA KUNANI? PUNDA AIBA MTOTO WA MIEZI MITANO NA KUMTAFUNA


Punda huyo akiwa ameuawa na kuchomwa moto na wananchi baada ya tukio hilo.Maajabu!! Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto Bosco Daudi mwenye umri wa miezi 5 amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake baada ya Punda kumng’ata na kuanza kukimbia naye katika soko la Lumambo wilayani Kahama mkoani Shinyanga. 


NENO LA LEO TOKA KWA MDAU WA SOPHIEMBEYU BLOG!



Kamwe usikumbuke matatizo yalopita sababu yanaumiza moyo na wala usiwaze yajayo sababu yanatia hofu,elewa maisha ni hapo ulipo na malengo,mipango na mikakati unayojiwekea ndiyo kielelezo cha maisha bora yajayo.

WAZIRI MKUU ATAKA ELIMU ZAIDI YA URUTUBISHAJI WA VYAKULA ITOLEWE KWA WANANCHI


WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uongezaji virutubisho kwenye vyakula umeibua mguso mpya na kuleta mlipuko baina ya sekta binafsi na sekta za umma (PPP) ambazo zinasimamia masuala ya afya kwa kiwango kikubwa.

JAPAN YAKUMBWA NA MAFURIKO MAKUBWA

Image copyrightReuters
Image captionMafuriko nchini Japan
Mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi nchini Japan vimewalazimisha zaidi ya watu elfu 90 kuzihama nyumba zao.
 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!