skip to main |
skip to sidebar
MAJAMBAZI YENYE SILAHA YATEKA MABASI NA KUPORA MAMILIONI-MTWARA
Majambazi wenye silaha Wilayani Masasi Mkoani Mtwara wameteka mabasi matano usiku wa kuamkia leo, wamejeruhi baadhi ya watu.
Mtu mmoja amejeruhiwa sana yuko maututi.
Polisi Mkoani humo imethibitisha kuwa mamilioni ya fedha yameporwa na majambazi hao, bado hawajakamatwa.
chanzo:jmf
No comments:
Post a Comment