Saturday, 23 May 2015

WAHAMIAJI HARAMU 50 WAKAMATWA WAKIJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MKOANI KAGERA

Zoezi la uandikishaji katika daftri la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa elektronia BVR wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera limeigia dosali baada ya kubainika kundi la wahamiaji haramu kutoka nchi ya Rwanda na Uganda wakijiandikisha kwa madai kuwa wamehamasishwa na wanasiasa kwa lengo la kupata wapiga kura.

Boozy night on the town ends in disaster after a man swings a machete into mate's neck while DANCING

A boozy night out came to an abrupt end for a man who swung a machete into a friend's neck while dancing (stock image)
A boozy night out came to an abrupt end for a man who swung a machete into a friend's neck while dancing.

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR NDUGU SEIF SHARIFF HAMAD.‏



UREMBO WA MWAFRIKA!

BEI YA MADAFU

DUNIA HAIISHI VITUKO, NDOA ZAFUNGWA NDANI YA JENEZA-THAILAND


Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.


SOFA SETS!


HAWA NDIO WALISHIRIKI CINEMA NZIMA YA KUWA NA MIFUPA YA ALBINO KAHAMA SHINYANGA.

Mwalimu Bahati Kilungu Maziku.

RED CARPET YA TUZO ZA WATU ILIVYOFANA!


Usiku wa kuamkia May 23 ilikuwa ni usiku wa kuwapata washindi wa vipengele 13 vya Tuzo za Watu zilizofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro. Chini ni picha za red carpet.


UREMBO WA MWAFRIKA!

PICTURE OF THE DAY!

VUNJA MBAVU NA KATUNI!



WATANO WAKAMATWA KWA KUKUTWA NA VIUNGO VYA ALBINO-SHINYANGA




Polisi Mkoani Shinyanga imewakamata watu watano waliokuwa wamejificha katika hoteli moja, Wilayani Kahama mkoani humo wakifanya biashara ya viungo vya binadamu vinavyodhaniwa kuwa nia vya Alibino

ALIKUWA MALKIA WA MUZIKI AFRIKA!!

TUHUMA ZA WANAUME ROMBO ZAMFADHAISHA MBUNGE WAO

MADAI ya wanawake wa wilaya ya Rombo, Kilimanjaro, kukodi wanaume kutoka nchini Kenya, baada ya kukosa huduma za ndoa kutoka kwa waume zao kwa muda mrefu, kutokana na ulevi wa gongo uliopindukia, zimemfadhaisha Mbunge wao, Joseph Selasini (Chadema).

WEMA ASHINDA TUZO ZA WATU MUIGIZAJI WA KIKE ANAYEPENDWA SANA NA WATU

https://igcdn-photos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/11371071_1628923450654073_1668232517_n.jpg

MSICHANA AKIRI KUMNYONGA MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA TISA MKOANI MOROGORO

Msichana Judithi Chomile (15) amekili kumnyonga hadi kufa mtoto mwenye umri wa miaka 9 mwanafunzi wa shule ya msingi Bernard Benderi aliyejulikana kwa jina la Edrini Mafuele baada ya kukorofishana wakiwa nyumbani kwao kola hill mjini Morogoro.

ALSHABAB YAVAMIA VIJIJI VITATU KENYA


Alshabaab yavamia tena vijiji 3 Kenya

Mamlaka nchini Kenya imesema kuwa walinda usalama wamekabiliana na washukiwa wa kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al- Shaabab, katika wilaya ya Ijara katika kaunti ya Garissa Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.

MIRADI YA UMEME KUFIKIA ASILIMIA 40-45 IKIKAMILIKA KWA WAKATI- SIMBACHAWENE

1
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (pichani) akisisitiza jambo wakati akizungumza na wananchi wa Vijiji vya Mapanga na Nkome wakati wa ziara yake wilayani Bahi, Mkoani Dodoma. Waziri amefanya ziara Wilayani humo katika vijiji kadhaa kueleza hatua zilizofikiwa katika Utekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili, unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika na Umeme Nchini (TANESCO).

MAGAZETINI LEO JUMAMOSI 23 MAY 2015

DSC02827

Friday, 22 May 2015

WATU 10 WAUAWA KWA BOMU MSIKITINI SAUDIA

Saudia
Takriban watu 10 wameuawa katika shambulizi la mlipuaji wa kujitolea muhanga katika msikiti mmoja wa Shia mkoa wa mashariki wa taifa la Saudi Arabia ,kulingana na daktari mmoja.

WAFANYABIASHARA WALEMAVU WAFUNGA BARABARA KWA SAA SITA KUPINGA KUBOMOLEWA VIBANDA VYAO NA MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM

 Wafanyabiashara walemavu wakiwa wamekaa katikati ya makutano ya barabara za Uhuru na Kawawa na kufunga barabara hiyo wakipinga kubomolewa vibanda vyao na Halmshauri ya Manispaa ya Ilala Dar es Salaam leo mchana. Halmshauri hiyo ilivunja vibanda hivyo kupisha upanuzi wa barabara.

VUNJA MBAVU NA KATUNI!



PICHA ZA MAMODEL WA KIMASAI KATIKA KAMPEIN ZA "SAIDIA AFRIKA"


MIMI NA TANZANIA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

MADHARA YA USAFIRI NA MSONGAMANO KICHOCHEO CHA MAGONJWA MENGI



Ni wazi kuwa wengi wanatumia usafiri wa
umma kwa sababu ya uwezo, lakini unayo
madhara yake mengi kwa afya zao
Asubuhi inapofika, aghalabu asilimia 80 ya
Watanzania huongoza njia kutafuta usafiri


wa umma kwa ajili ya kuelekea katika
shughuli zao mbalimbali ambazo ni pamoja
na kujitafutia riziki.

MITINDO/MISHONO YA VITENGE NA ACCESSORIES!



UREMBO WA KUCHA!



AUNT EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE



Staa wa Bongo Movies, Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni dancer wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.

Iliyonikosha!


KUPANGA UZAZI KWA KUTUMIA KALENDA

Hii ni njia ambayo mwanamke anaweza kutumia kupanga uzazi bila kutumia dawa au kitu cha aina yoyote.  Njia hii inategemea kuchagua kwa makini siku za kufanya mapenzi kutegemeana na ufahamu wa kipindi chote cha hedhi cha mwanamke. 


MWANAMKE HANDBAG!



KUPENDEZA RAHA!



MMOJA KATI YA WALIOTAMBA ENZI HIZOO!

WATANZANIA WANAOSOMA KENYA WAFUKUZWA

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mamia ya wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika shule za msingi nchini Kenya, wameripotiwa kufukuzwa nchini humo.

HELSB YALIPA FEDHA ZA MIKOPO KWA VYUO 16

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema inaendelea kulipa fedha za mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini na tayari wanafunzi wa vyuo 16 wameshalipwa.

JK: NITASAINI MISWADA YA HABARI KABLA YA BUNGE LA 20



Rais Jakaya Kikwete, amesema atahakikisha anasaini miswada miwili ya habari kabla ya kumalizika kwa mkutano wa 20 wa Bunge la Bajeti unaendelea.

MAREKANI YAKIRI KUUA RAIA

Rais Barack Obama wa Marekani
Marekani imekiri, kwa mara ya kwanza kuhusika na mapigano ya anga dhidi ya kikosi cha kiislamu yaliyopelekea baadhi ya raia kuuawa.

UBOVU WA BARABARA WAWAKOSESHA RAHA WATALII WA NDANI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO.

Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa
ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa
baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara

MAGAZETI YA LEO IJUMAA 22 MAY 2015

DSC02784

Thursday, 21 May 2015

PANGILIA VAZI LAKO LA KITENGE!

Kanga-Culture-look1

Jennifer Aniston!

MICHELLE OBAMA SHOWS OFF HER FITNESS ROUTINE

NANI KANOGA ZAIDI?


MISUKO YA NYWELE KWA WATOTO!

little african american girl hairstyles braids'

YALIYOMO MAGAZETINI LEO ALHAMIS 21 MAY 2015

DSC02737

LEO NI MIAKA 19 TANGU KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA





Leo ni kumbukumbu ya miaka 19 tangia kuzama kwa meli ya MV Bukoba katika Ziwa Victoria
- Meli ilikuwa na takribani abiria 800, abiria 114 waliokolewa wakiwa hai, 391 miili yao ilipatikana wakiwa wamefariki na jumla ya miili 322 haikupatikana

UJUMBE KWA WAJUMBE!

ABDU KIBA!

AFARIKI KWENYE FOLENI YA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA



Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla akiwa kwenye foleni ya kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa teknolojia mpya ya Biometric Voters Registration (BVR).

WAKIMBIZI WA BURUNDI WANAHITAJI MSAADA ZAIDI WA DAWA NA CHAKULA


Kuna taarifa za kuhuzunisha kuhusiana na tishio la kiafya linalowakabili maelfu ya wakimbizi wa Burundi wanaoingia nchini kila uchao kukimbia machafuko ya kisiasa nchini mwao. 

BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA.

  Baloziwa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya
elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza

KINYEREZI I KUKAMILIKA MWAKA HUU.

fl1
Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima  (kulia)  akitoa maelezo kuhusu hali ya maendeleo ya mradi kwa wanajopo la ukaguzi kutoka Ofisi ya Raisi Tume ya Mipango, pichani ni  Bibi. Florence Mwanri (Katikati), Ndg, Robert  Masatu na  Ndg. Aloce Shayo, kwa mfuatano.
 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!