Saturday, 23 May 2015

DUNIA HAIISHI VITUKO, NDOA ZAFUNGWA NDANI YA JENEZA-THAILAND


Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.





Tukio hilo ambalo lilikusanya mamia kwa maelufu ya ndgu na wageni waalikwa imekuwa kali ya mwaka ambapo jeneza kubwa lilokuwa 

limepambwa kwa rangi ya pinki lilowekewa mto mkubwa kisha maharusi kungia ndani na kulala chali kisha kila mmoja kubeba ua.

Baada ya kulala chali wazee wawili wa kimila waliovaa nguo za rangi ya Chungwa wanawafunika na shuka nyeupe kisha nyimbo za kimila huimbwa na vigelegele kuendelea kama kawaida.


Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.

Wazee wa kimila wakiendelea na shughuli.

1 comment:

Anonymous said...

Emmanuel Amose19:16


1


kali ya mwaka

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!