Wednesday 28 May 2014

VANESSA MDEE, ZAIDI YA UNAVYOMFAHAMU....



385798_325959804083420_825487988_n




Vanessa akiwa na Jay-z(Mr.Carter)
Vanessa ni moja ya msanii wa kike ambaye mbali tu na umaarufu wake huo kimataifa bali, ana ule muonekano wa ki-star, kitu ambacho ni nadra sana kukipata kwa wasanii wengi hapa Bongo, ila tukirudi kwa Wema Sepetu ambaye ndiye ana-run industry ya watu maarufu hapa Bongo , upande wa wanawake, ukilinganisha na Vanessa Mdee bado jibu utapata kuwa Vanessa ndie anayekimbiza kwa upande wa muonekano wakistar na umaarufu wa kimataifa zaidi ukilinganisha na wa hapa Bongo.Pia kingine cha tofauti kwa Vanessa Mdee kimataifa ni kitando cha Raisi wa Marekani , Barack Obama kum-followVanessa Mdee  kupitia mtandao wa twitter , kitu ambacho kinaonesha kwa kiasi gani Vanessa ni mtu mkubwa kimataifa ukilinganisha Bongo. Hata hivyo bado anaendelea kuja juu kwa hapa Bongo, kwa kuendelea kula dili mbali mbali zitakazo Boost umaarufu wake hapa kwa hapa Bongo, ikiwemo umaarufu anaozidi kupata kupitia muziki wake na dili nyingi za matangazo anazoendelea kupata.
miguel-vanessa-mdee
Vanessa aki-roll na Miguel.
Vanessa-Ludacris
Ludacris akiwa ame-poz na Vee Money
vaness mdee
Magazeti ya nchini Kenya walishawahi kusema kuwa wawili hawa wanafanana, Its Vanessa na Kelly Rowland(Destiny Child).
akon
Akon akiwa amemshikilia Vanessa kwa Picha.
d62
Davido straight from Nigeria akiwa anauza sura na Vanessa.

 Credit.Vibe

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!