Wednesday 16 April 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA KUBORESHA MIUNDOMBINU

a1 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu 
katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo April 15, 2014

a4Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu  katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) baada ya kulifungua  katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo April 15, 2014
aa1 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kufanya mazungumzo na Waziri wa 
Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam leo April 15, 2014 
 
PICHA NA IKULU

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!