Leo mwanadada wema sepetu amezidi kuudhihirishia ulimwengu wa fans wake kuwa kijana raisi wa wasafi aka Diamond Platnumz ndio mahabuba wake baada ya kupost video ya mwanamuziki huyo akiwa kitandani kifua wazi kabisaaa huku akiandika “In da middle of his writing session…jus had to distrub him a little”.
CREDIT BONGO MOVIE...
CREDIT BONGO MOVIE...
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCA8msusrvRqJyzKDhNXJPv_AgicTfwgG6cJ-O2YO2g4_WpsjhMbaGpRHTzIwYDL8Hf2kkX-c4-pmmVtQr37yjIpQ9pvnxH2qPiYU5u5Pow6qzpw7Dxan5NdLQemJtLysQ7cb9Mq4hoDA/s1600/pennynadiamond.jpg)
wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ amesema
katika maisha yake haitatokea akamdharau kwa kumkashifu hata kama si wake tena.
Akipiga stori na paparazi wetu, mwanadada huyo alisema japo kwa sasa ametofautiana
na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki
dhidi yao.
“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau
Diamond, haijalishi yupo na nani kwa sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale
hamuwezi jua namheshimu kiasi gani yule mtu,” alisema Penny.
chanzo:.globalpublishers
No comments:
Post a Comment