![Achana na kitu inayoitwa SIASA utawacha watoto waishie vidudu/chekechekea wakati wenzako wanacheka na kuheshimiana kama hivi, huku kwenye maandamo wewe ndio mbeba bango na muimbaji, Amka acha kutumiwa hakuna binadamu mkweli asilimia zote
Kiroho Safi napost](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-frc1/600765_481183525293680_1562266524_n.jpg)
Achana na kitu inayoitwa SIASA utawacha watoto waishie vidudu/chekechekea wakati wenzako wanacheka na kuheshimiana kama hivi, huku kwenye maandamo wewe ndio mbeba bango na muimbaji, Amka acha kutumiwa hakuna binadamu mkweli asilimia zote
Kiroho Safi napost........
Kamanzi Aimma Emmanuel Wanasiasa ni wanafikiwananchi wenye vihele hele ndo inakula kwao na kudungwa mabomu
nimeipenda@Smile
No comments:
Post a Comment