Thursday, 20 June 2013

MAZISHI YA KIONGOZI WA CHADEMA ALIYEKUWA KATIBU KATA YA SOKONI BI JUDITH WILLIAM AZIKWA LEO.





Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Judith William, ambaye alifariki kufuatia mlipuko wa Bomu lilillipuka siku mbili zilizopita,ambapo watu kadhaa walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya, kufuatia mlipuko huo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!