NINI KIFANYWE KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI KAMA HIZI? MANI YAKO NI MUHIMU....
Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi
ya nafaka.. Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi road na mwenye
gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa
wenye pikipiki.
No comments:
Post a Comment