![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNhk-BdnF91VAfRGPvFgMifLrDJO9e5KeQqrpjId74-DiS3_mpyiclto6d6kRgUG3QiGe71u_RRpqzgYX7vkUIsbAehp4LO18xRQk1TI2BaQebMUEIc80zPxkIwyAEU6x218RiHzvHoUIt/s640/wape2.jpg)
Mkasa huu umetokea huko
Congo.
Wapenzi hawa wawili waliamua
kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya
wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana
huyo.
Baada ya jitihada zao za
kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya
kujinyonga.
Habari kwa hisani ya Juma Mtanda.
Habari kwa hisani ya Juma Mtanda.
No comments:
Post a Comment