skip to main |
skip to sidebar
RAIS JAKAYA KIKWETE AMPNGEZA ASKOFU MKUDE KWA KUTIMIZA MIAKA 25 YA UASKOFU.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu Katoliki wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Miaka 25(Silver jubilee) ya Uaskofu wa Askofu Telesphori Mkude wa jimbo Katoliki Morogoro zilizofanyika katika Viwanja vya Seminary ya St.Peters mjini Morogoro leo
No comments:
Post a Comment