Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Aloyce Katemana amesema masharti ya dhamana hiyo ni wadhamini wawili wafanyakazi kila mmoja aweke bondi ya shilingi milioni 10 na wawe na uthibitisho wa barua na mihuri ya ofisi wanayofanyia kazi
Hakimu katamana ametoa muda mpaka saa nane kutimizwa kwa masharti hayo.Lwakatare na mwenzake Ludovick wanakabiliwa na shtaka la kupanga njama za kumnywesha sumu mhariri wa gazeti la Mwananchi, Denis Msacky.













No comments:
Post a Comment