Sunday, 11 July 2021

Yatazame hapa kwa urahisi matokeo ya Kidato cha SITA

 

Baraza la mitihani la taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na Ualimu kwa mwaka 2021. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt Charles Msonde ametangaza matokeo hayo akiwa Zanzibar.

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha SITA kwenye link iliyoandikwa ‘ACSEE 2021′ >>> HAPA

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!