Thursday, 16 April 2020
Watu wasiojulikana jijini Tanga wameiba Ndoo na koki za maji tiririka zaidi ya 10
Watu wasiojulikana jijini Tanga wameiba Ndoo na koki za maji tiririka zaidi ya 10, katika stendi ya mabasi ya Ngamiani iliyopo barabara ya 12 mkoani humo, ambazo zinatumiwa na baadhi ya watumiaji wa Stendi hiyo kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment