Thursday, 16 April 2020
RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBI
"Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17 - 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} kumuomba Mwenyezi Mungu aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu. Tusali kwa kila mmoja kwa imani yake, atatusikia". - Rais Magufuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment