Tuesday 21 January 2020

Wamebaka na kuua mtoto "Tunawasaka"-Polisi

Image result for gari la polisi tanzania
Polisi Mkoani Pwani wamewaomba Wananchi kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa Watu wanaodaiwa Kumuua Mtoto wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Jitegemee Wilayani Kibaha, Pwani na kuutelekeza mwili wake katika nyumba inayoendelea kujengwa.

"Mtoto amepotea jumanne ya wiki iliyopita tumempata siku tano mbele tangu kupotea kwake, amekutwa na michubuko sehemu za siri inayoashiria amebakwa kabla ya kuuawa" - Nyigesa Wakyo, RPC Pwani
#MillardAyoUPDATES

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!