Thursday, 28 March 2019

Mambo hayo! Urembo uremboni!























Pichani Valdir Segato(51) raia wa Brazil amekuwa akipenda mwili wake uonekane wa kimazoezi na wenye mvuto Kwa kinadada hivyo kupendelea kujichoma sindano za synthol na licha ya madaktari kumuonya kuwa ni hatari aache zitakuja kusababisha akatwe viungo vyake vya mwili lakini haelewi anchoambiwa. Na tayari amekiri kuwa amekuwa na changamoto ya kukosa mpenzi kinadada wanamuogopa hivyo kumkimbia

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!