skip to main |
skip to sidebar
Amwagiwa tindikali baada ya kudai talaka
Mrembo Nigese wa Ethiopia amemwagiwa tindikali na mchumba wake, baada ya kumtaka ampe talaka kutokana na kumpiga mara kwa maramara. Mwanamke huyo kwa sasa si tu amepoteza urembo wake, bali kapoteza uwezo wa kuona, na mtoto wake kumkataa kwa kutomtambua
No comments:
Post a Comment