Thursday, 28 March 2019
Usimpe asali mtoto mwenye umri chini ya mwaka mmoja
Asali inaweza kuwa na bakteria aina ya C.botulinum. Bakteria hawa huzalisha sumu ambayo husababishwa ugonjwa wa botulism. Ugonjwa huu unaweza kusbabisha mtoto kupoteza maisha. Utumbo wa mtoto haujakomaa na hauna kinga ya kuweza kushambuliwa hao bakteria..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment