Ni Mapito Tu aunty ake Fansy …kinachoniuma Zaidi Ni how much Fantasy amekuzoea sisi wote hatupo tayari kwa mabadiliko hayo katika maisha yetu, MUNGU akupe Nguvu na kukusimamia love .
M/Mungu ampe nguvu mama yako katika kipindi hichi without forgetting mdogo ako Iki ….sijui kama nitaweza kumuona bila kutokwa na machozi .am not ready baby
No comments:
Post a Comment