Uongozi wa timu hiyo umesema jana Katauti alifanya mazoezi na wachezaji wake akiwa buheri wa afya. Mwili wake umekutwa nyumbani kwake mjini Kigali akiwa amefariki dunia. Haijajulikana kifo chake kimesababishwa na nini kwani hakuwa mgonjwa na wala hajafanya ajali. Mwili wake umepelekwa monchwari ya kiislamu ya dispensari ya Rwampala kwa maombi ya familia yake kwani miili ya waislamu haihifadhiwi katika monchwari za kawaida kwa mujibu wa imani zao.
Mungu ampe malazi mema peponi.
Siku ya Harusi ya Irene Uwoya aka Oprah na Ndikumana Hamad ‘Katauti’
Huyu ni Mtoto wa Irene aliyezaa na Ndikumana, Krish Ndikumana
Ndikumana alizaliwa 10/05/1978.
ujumbe wake wa mwisho kwa irene
CHANZO.JMF
No comments:
Post a Comment