Sidhani kama fashen ya khanga itakuja kuchuja,sasa hivi Khanga zinatumika kwa maana nyingi kwanza ni kama vazi la heshima, lakini katika kuinogesha zaidi khanga imekuja kivingine na kutumika kama sehemu ya kupeana ujumbe, ujumbe unaweza kuwa wa mapenzi, ujumbe wa mipasho n.k kwa wale wa pwani wanayajua zaidi haya!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment