Friday, 1 July 2016
RAIS PAUL KAGAME AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA KISERIKALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amempokea Mhe. Paul Kagame Rais wa Jamhuri ya Rwanda kwa ziara rasmi ya kiserikali. Rais Magufuli ameambatana na Mkewe Mama Janeth Magufuli na Rais Kagame ameambatana na mkewe Mama Jeannette Kagame. Rais Kagame pia atafungua maonyesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya Sabasaba.
Ziara hii ni ya siku mbili
Picha kwa hisani ya Chriss Lukosi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment