Thursday, 5 May 2016

Kilichotokea Rufani ya Kitilya na wenzake Mahakama Kuu leo

Rufani ya aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’, Harry Kitilya, Sioi Solomoni na aliyekuwa afisa mwandamizi benki ya Stanibic tawi la Tanzania pia ni mshindi wa taji la Miss Tanzania 1996, Shose Sinare imesikilizwa leo Mahakama kuu.

Upande wa utetezi umedai kuwa mahakama hiyo aina mamlaka ya kusikiliza kwa kuwa mahakama ya hakimu mkazi kisutu haikumaliza kusikiliza kesi hiyo lakini upande wa serikali umesema haki wanayo kwa sababu shitaka la nane limeshamalizika. Mahakama Kuu imeeleza kuwa kesho ndio itatoa uamuzi wa Rufani hiyo kama isikilizwe mahakamani hapo au la. 
_DSC0108
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Unataka

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!