Saturday, 30 January 2016

29 WALAZWA KWA KIPINDUPINDU BABATI




Watu 29 wamelazwa katika hospitali ya Mrara ya halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara baada ya kugundulika kuugua ugonjwa wa kipindupindu, huku wataalam wa afya wakidai kupatwa na hofu ya huenda idadi kubwa ya wagonjwa ikaendelea kuongezeka kutokana baada ya kupokea wagonjwa 18 siku tatu zilizopita na hadi kufikia saa sita mchana ya leo (alhamisi) idadi hiyo imeongezeka toka wagonjwa 28 hadi kufikia 29.






No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!