Saturday, 30 January 2016

TUZO NYINGINE YA USHINDI YAENDA KWA DIAMOND!



Jus wanna thank my people and let you know that have won another two awards in Nigeria AFRICAN ARTIST OF THE YEAR on ‪#‎tooxclusiveawards‬and AFRICAN ARTIST OF THE YEAR on Trendsloaded!..





(Ningpenda niwashkuru na kuwajuza mashabiki zangu pendwa kuwa kinana wenu nimeshinda tunzo zingine mbili kama MSANII BORA AFRICA kwenye tunzo za #tooxclusiveawards na pia MSANII BORA WA AFRICA kwenye tunzo za TrendsLoaded.... sina cha kuwalipa zaidi ya kuhakikisha nawapatia kazi bora kila nitoapo, kuwawakilisha vyema na kiwaombea kwa Mwenyez Mungu awafanikishie kwenye kila jema mliombalo kwenye Maisha yenu🙏 )

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!