Saturday, 19 December 2015

SHILOLE NA SAFARI YA MAISHA!


Namsifu Shilole baada ya kusikia hii stori ya maisha yake, kwa kweli amepiga hatua sana, hii imeonyesha kuwa jinsi gani mtu usikate tamaa ya maisha endelea kupigana.


Kingine ninachomsifu ni kuweza kueleza kiundani juu ya maisha yake, watu wengi hawapendi kuongelea maisha ya shida za nyuma, kila staa unayemsikia atakwambia baba au mama yangu walikuwa na uwezo, nimesoma sijui international school bla bla bla!
Big Up SHILOLE.....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!