SHEKHAN RASHID MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA NDANI YA TBT BONANZA STOCKHOLM SWEDEN
Uraia pacha unavyoturudisha nyuma wachezaji wa Tanzania ughaibuni wangeweza kushiriki mechi kubwa za kimataifa zinazochezwa na timu ya taifa ya Tanzania.
Shekhan Rashid akisalimiana na aliyekuwa waziri mstaafu Fredrick Sumaye enzi hizo akichezea timu ya simba sport club
No comments:
Post a Comment