Serikali yasitisha shughuli za maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani, Dec 1... fedha zikatumike kununua dawa za ukimwi - Dokta Fatma Mrisho,Mwenyekiti Tacaids
Rais Magufuli Pia Ameagiza Pesa zote zilizotakiwa Kwenye Sherehe hizo Zitumike Kununulia Dawa.Ikumbukwe Tarehe 1 December Kila Mwaka Huwa ni Siku ya Ukimwi Dunia.
Sherehe hizo zilikuwa Zifanyike Kitaifa Mkoani Singida.
Taarifa Hizo zimetufikia Jioni hii japo Maandalizi yalikuwa yameshafanyika na Mkuu wa Mkoa alikwishafungua Maonyesho Kuelekea Kilele cha Siku hiyo
CHANZO: CHANEL TEN
No comments:
Post a Comment