Kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook Lowassa kaweka picha hizi na kuyaandika haya;-_Tutasimamia Katiba mpya inayolinda haki za msingi za wananchi na kuweka bayana mipaka ya madaraka ya serikali na viongozi, Bunge na Mahakama. Tutaboresha miundobinu ya sheria na kuimarisha utendaji wa Mahakama na maslahi ya wafanyakazi.alimaliza Lowassa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment