Monday, 19 October 2015

KUELEKEA UCHAGUZI, NENO TOKA KWA MDAU



Lowassa ni MTU mmoja, Magufuli ni MTU mmoja, Yakitokea machafuko wahanga ni watu wengi tena zaidi akinamama, wazee na watoto, Tuungane kushare post za amani, Tuilinde amani yetu. Ashinde nani, ashindwe nani Amani kwanza. 



Tusiamame kuilinda nchi yetu wahashtag marafiki share uwezavyo ujumbe wa amani ufike kwa watu wengi, uchu wa madaraka umepelekea maafa makubwa katika nchi za wenzetu, kwetu hapana, sisi ni mabalozi wa amani. Amani, Amani, Amani. Zikitokea vita Wanasiasa huzikimbiza familia zao ughaibuni na kuwaachia dhoruba masikini. Nitakuwa adui namba moja wa yeyote atakayekuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani. Tanzania ni zaidi ya CCM, Tanzania ni zaidi ya Chadema.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!