skip to main |
skip to sidebar
MAGARI SABA YAWAKA MOTO BAADA YA GARI LA PETROL KULIPUKA
Kama unavyo ona magari yanazidi kuwaka moto eneo hili la njia panda yakwenda kigoma na burundi,nyakanazi"chanzo tanki iliyokuw imebeba petrori kulipuka moto nakuzimwagia gari zingne7 hakuna mtu aliopoteza maisha
Na mwandishi wetu -Kigoma
No comments:
Post a Comment