Moja ya matukio yaliyonifikia August 25 ni pamoja na hii ajali ya daladala linalofanya safari kati ya Tabata-Segerea- Mnazi Mmoja iliyotokea maeneo ya Tabata Matumbi.
Shuhuda wa ajali hiyo amesema basi hilo lililokua likitokea mjini lilikikwepa lori na kudumbukia kwenye mtaro huku baadhi ya abiria wakijeruhiwa.
Nimekuwekea hizi picha za tukio hilo….
PICHA KWA HISANI YA MILLARD AYO .COM
PAPO
No comments:
Post a Comment