Mmoja kajipatia mnofu saaafi wa duma
Wakimchuna ngozi
wakifurahia nyama ya duma
Wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe wakifurahia nyama ya duma aliyeuawa kijiji cha Lupombwe wilayani hapo, ambapo walikwenda kuipika na kuila.
Picha na Aldo Sanga-eddy Blog Makete.
1 comment:
aziz bilal17:07
1
Reply
Si ajabu watu kula nyama ya Duma,wenzetu wana usemi usemao "Nyama ni nyama hata ya mtu nayo ni nyama.
Post a Comment