Tuesday, 20 January 2015

SAHAU WALE WANAOKULA MBWA HAWA SASA WANAKULA HUYU- IRINGA






 Mmoja kajipatia mnofu saaafi wa duma
 Wakimchuna ngozi
wakifurahia nyama ya duma

Wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe wakifurahia nyama ya duma aliyeuawa kijiji cha Lupombwe wilayani hapo, ambapo walikwenda kuipika na kuila. 
 Picha na Aldo Sanga-eddy Blog Makete.

1 comment:

Anonymous said...


aziz bilal17:07


1
Reply

Si ajabu watu kula nyama ya Duma,wenzetu wana usemi usemao "Nyama ni nyama hata ya mtu nayo ni nyama.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!