"Tukiwaga tunapinga madawa ya kulevya muwe mnasikia na kuelewa madhara yake. .sasa ona mwisho wa siku mnadhalilishwa vibaya. Tukisema wauza unga wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani ukigeukwa hakuna cha mmesota wote wala nini unaumizwa, hamuelewi! Haya sasa ndugu yetu amewadhurumu wenzake mzigo huko South Africa, wakamshtukia kwamba kaficha check walivyomfanyia unyama huu mpaka kuondoa uume wake. Inasikitisha sana, picha nyingine ni mbaya mno... na list ya wauzaji madawa inazidi kuongezeka huko SA mmejibana wengi, yatakayowapata mtajutia.. #SayNoToDrugs "- Source Jamiiforums |
Wednesday, 28 January 2015
ANAYEDAIWA KUWA MUUZAJI MADAWA YA KULEVYA (TEVEZ) AFANYIWA UKATILI NA WAUZA UNGA WENZIE NCHINI AFRIKA YA KUSINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment