Wednesday 3 December 2014

MVUA ILIYONYESHA JIJINI MWANZA YALETA MAFURIKO MAKUBWA

Daraja likifurika maji baada ya mvua kubwa kunyesha asubuhi ya leo jijini Mwanza.

Watu wakivuka kwa tabu katika daraja hilo.
Mkazi wa jiji la Mwanza akivuka pamoja na daraja hilo kujaa maji.
Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mafuriko hayo kutokea.
Maji yakiwa yamefurika katika moja ya mtaa ya Jiji la Mwanza.
Vitu vikitolewa nje baada ya maji kuzingira nyumba za wakazi wa jiji hilo.
Mvua kubwa iliyonyesha asubuhi ya leo jijini Mwanza, imesababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo kama inavyoonekana pichani.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!