Jarida la Women Daily lilimtaja Kristina Pimenova, mtoto mwenye miaka 9 kuwa msichana mrembo zaidi duniani.
Kristina, kutoka Urusi alianza masuala ya modelling akiwa na miaka minne na tayari ameshafanya kazi na wabinifu wakubwa wa mavazi wakiwemo Roberto Cavalli na Benetton.
Tayari ameshaokava pia jarida la Vogue Bambini. Tazama picha zake zaidi.
CRD: KENGETE BLOG
No comments:
Post a Comment