Mdau Ahmed Dau Alamba Masters of Science Degree in Petroleum, Energy, Economics and Finance katika Chuo Kikuu cha Aberdeen Novemba 27
Mdau Ahmed akiwa na Mama yake.
Hapa Mdau Ahmed akiwa na Baba yake Dr Ramadhan Dau.
Bila kukosa kaka wa mama Blog Haruna Mbeyu akiwa na mdau Ahmed Dau katika mahafali hayo.
Ahmed Dau akiwa na Wazazi wake.
Ahmed Dau na Wadau mbalimbali
Meya wa London Haruna Mbeyu na Wadau Kwenye ukumbi wa mahafali
Pichani Ahmed Dau akiwa na wadau Kheri Mahimbali na Abdul Dau.
No comments:
Post a Comment