Daladala
aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T344AHZ lifanyalo safari zake
kati ya Mtoni Mtongani na Ubungo jijini Dar es Salaam likiwa
limeharibika baada ya kugongana na Lori eneo la Tabata Matumbi Julai 3
mwaka huu. Mashuhuda
wa ajali hiyo wameipasha Blog hii kuwa daladala hilo lilipata ajali
hiyo wakati lorio hilo likivuka barabara na kuligonga katikati.
Picha Zote na Mroki Mroki - Father Kidevu Blog
No comments:
Post a Comment